+255 746 237 265
Tanzania Network of Legal Aid Providers
Our Core values
Local communities and poor people have potential to contribute to and to demand good Access to Justice. Local communities, even the poorest
Partnership with local communities, through their networks, and other local, national and international actors on legal and human rights mat
Integrity (respect and honesty) at all times. TANLAP secretariat and all members are expected to undertake diverse initiatives in enhancing
Transparency and accountability in our engagement with education policy and practice issues. TANLAP Secretariat and all members will underta
Our Blog
Watu wenye ulemavu wameonesha nguvu na uthubutu wao katika uchaguzi, wakithibitisha kwamba kila kura ni muhimu. Haki zetu kikatiba ni msingi wa maendeleo na usawa. Tumeamua kushiriki, tumeamua kutimiza haki zetu, na hakuna kura inayopotea. Pongezi kwa watu .. View post
Vijana wamesimama imara na kuamua mustakabali wao. Kwa kujitokeza kupiga kura, wameonyesha dhamira ya kujenga taifa lenye maendeleo, haki, na fursa kwa wote. Kesho ni yetu, na kupitia sauti yetu, tutaunda dunia bora zaidi. Pongezi kwa vijana wote waliochukua hatua .. View post
Wanawake wameonesha nguvu na uthubutu wao katika mchakato wa uchaguzi, wakitumia haki zao za kikatiba kwa ajili ya maendeleo ya familia, jamii, na taifa. Kwa umoja na azma, wanawake wamesimama imara na kuamua mustakabali wa Maendeleo ka.. View post
TANLAP inaishukuru Serikali kwa kutoa kibali cha uangalizi na kwa ushirikiano wakati wote wa kutimiza majukumu ya uangalizi. Pia inatoa pongezi kwa wananchi wote waliojitokeza kupiga kura na kwa wasimamizi wa uchaguzi waliofanya kazi yao kwa weled.. View post
Maamuzi sahihi huanza na ushirika wako katika kampeni. Hakikisha unahudhuria mikutano ya kampeni kusikiliza sera za wagombea ili kupata kiongozi bora. #WananchiTuamue #uchaguzi #UchaguziwaSerikalizaMitaa2024.. View post
As part of USAID Wananchi Tuamue project, TANLAP continued to provide media awareness to the citizen on importance of citizens participartion in Local Government election 2024, their rights to vote and being voted, and laws which govern these elect.. View post